Tuesday, 18 November 2014

Mechi za kirafiki leo,Ureno na Argentina huku Hispania na Ujerumani wakipambana.

Ratiba za michezo za kimataifa za kirafiki  leo (Jumanne) ambapo katika jiji la Manchester Christiano Ronaldo ataoneshana ubora na Linel Messi wakati Argrntina na Ureno zikipambana katika uwanja wa Old Traford.

Nyota hao wawili ambao wamekuwa wakichuana vikali kuvunja kila Rekodi Duniani wote ndio Manahodha wa Nchi zao huku Ronaldo ataiongoza Ureno na Messi kuiongoza Argentina.

Ingawa hii ni Mechi ya Kirafiki lakini macho ya Mashabiki Duniani yatawalenga wao ambao ndio Wachezaji Bora Duniani kwa vile wao ndio waliotwaa FIFA Ballon d'Or, Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani, kwa Miaka 6 iliyopita huku Messi akiitwaa mara 4 na Ronaldo mara 2.


Ratiba Jumanne Novemba 18,muda kwa saa za Tanzania.

Japan 2 v Australia 1 mchezo umemalizika.
Slovakia v Finland 19:00 Belarus v Mexico 20:00
Greece v Serbia 20:00
Slovenia v Colombia 20:00
Austria v Brazil 21:00
Romania v Denmark 21:30
Hungary v Russia 22:30
Italy v Albania 22:45
Poland v Switzerland 22:45
Portugal v Argentina 22:45
Rep of Ireland v USA 22:45
Spain v Germany 22:45
France v Sweden 23:00
Scotland v England 23:00

0 comments:

Post a Comment