Wednesday, 31 December 2014

Jonjo Shelvey afungiwa mechi nne Huko Uingereza.

Kiungo wa klabu ya Swansea City  Jonjo Shelvey amefungiwa kutocheza michezo minne ya ligi kuu Uingereza na mashindano mengine yanayosimamiwa na chama cha soka FA Baada ya kufanya kosa.

Kosa hilo alilofanya ni wakati klabu yake ikifungwa mabao 4-1 na Liverpool huko  Anfield siku ya jumatatu wakati wa mchezo wa EPL, Ambapo Shelvey alimpiga kiwiko  Emre Can wa Liverpool lakini mwamuzi  Andre Marriner hakumpa adhabu yoyote.

Atakosa mechi dhidi ya  Queens Park Rangers, kombe la  FA dhidi ya  Tranmere,West Ham United na Chelsea.

Winga wa Liverpool  Raheem Sterling, 20, hakupewa adhabu baada ya kumpiga kibao Federico Fernandez.

Mapema jana Papis Demba wa Newcastle alifungiwa mechi nne baada ya kumpiga Coleman wa Everton.

Cisse atakosa mechi ya Chelsea,Leicester na Burnley.
Nyota huyo sasa atakosa mechi za ligi dhidi ya Burnley na vinara Chelsea na mchezo wa mzunguko wa tatu wa Kombe la FA dhidi ya Leicester City.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Nyota huyo sasa atakosa mechi za ligi dhidi ya Burnley na vinara Chelsea na mchezo wa mzunguko wa tatu wa Kombe la FA dhidi ya Leicester City. Katika mchezo huo Newcastle walishinda kwa mabao 3-2 dhidi ya Everton.

0 comments:

Post a Comment