Makundi AFCON 2015 Yapangwa,Ghana kundi la kifo.
Hatimaye Makundi ya
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika,AFCON 2015 yamepangwa.
Upangaji huo umefanyika huko Malabo
Nchini Equatorial Guinea.
Katika makundi hayo yaliyopangwa
Wenyeji Equatorial Guinea wako Kundi A pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na
Burkina Faso na wao ndio watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya
Congo-Brazzaville.
Lakini kundi la C limeonekana kuwa
gumu kwani kuna Ghana,Senegal,Afrika Kusini,Algeria.
Mechi ya Fainali ya Mashindano haya
itafanyika hapo Februari 8.
KUNDI A
Equatorial Guinea
Congo-Brazzaville
Gabon
Burkina Faso
KUNDI B
Zambia
DR Congo
Cape Verde
Tunisia
KUNDI C
Ghana
Senegal
Afrika Kusini
Algeria
KUNDI D
Ivory Coast
Guinea
Cameroon
Mali
0 comments:
Post a Comment