EPL itanguruma leo ila kesho ni Manchester City na Arsenal.
Ligi kuu kandanda nchini Uingereza itaingia katika mechi zake za 22 hii leo huku mabingwa watetezi Manchester City itapepetana na Arsenal siku ya kesho katika uwanja wa Etihad.Leo vinara Chelsea itakuwa ugenini kucheza na Swansea huku Manchester United inayowania nafasi ya tatu itakuwa ugenini pia kupepetana na QPR.
Mechi kupigwa kuanzia saa kumi na mbili jioni isipokuwa Newcastle na Southampton watacheza saa mbili na nusu.
Jumamosi Januari 17
Aston Villa v Liverpool 1800
Burnley v Crystal Palace 1800
Leicester v Stoke 1800
QPR v Man United 1800
Swansea v Chelsea 1800
Tottenham v Sunderland 1800
Newcastle v Southampton 2030
Jumapili Januari 18
West Ham v Hull 1630
Man City v Arsenal 1900
Jumatatu Januari 19
Everton v West Brom 2300

0 comments:
Post a Comment