Mapinduzi Cup Simba robo fainali,pata ratiba ya leo
Katika mchezo huo Simba ilibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya JKU huku bao pekee likifungwa na Ramadhani Singano .
Mechi ya kwanza ni kati ya Mtibwa Sugar na Mafunzo na matokeo yalikuwa 0-0
Kwa matokeo hayo Simba imefuzu robo fainali kama kinara wa kundi lao la C Sambamba na Mtibwa.
Mechi za leo Azam na Mtende huku KMKM Wakipepetana na KCCA,Yanga na Shaba pia Polisi itamenyana Jang'ombe.
0 comments:
Post a Comment