Droo ya FA,Arsenal na Brighton,Pata droo kamili hapa.
Usiku wa kuamkia leo droo ya Mechi za Raundi ya 4 ya kombe la FA imefanyika ambapo Mabingwa Watetezi, Arsenal, watakuwa Ugenini kucheza na Brighton & Hove Albion ambayo ipo Daraja la chini ya Ligi Kuu Uingereza, Championship.Katika droo hiyo Cambridge United, ambayo ndio ipo Daraja la chini kabisa, watakuwa Wenyeji wa Manchester United.
Cambridge United, ambao waliwahi kufika Robo Fainali ya FA CUP mara mbili Miaka ya 1990 na 1991, wapo Nafasi ya 14 katika Ligi la Daraja la chini, Ligi 2.
Mechi hizo zitachezwa Januari 24 na 25.
DROO
Cambridge United v Manchester United
Chelsea v Millwall/Bradford City
Southampton/Ipswich v Crystal Palace
Blackburn Rovers v Swansea City
Derby v Scunthorpe/Chesterfield
Preston North End v Sheffield United
Birmingham City v West Bromwich Albion
Aston Villa v Bournemouth
Cardiff City v Reading
AFC Wimbledon/Liverpool v Bolton Wanderers
Burnley/Tottenham Hotspur v Leicester City
Brighton & Hove Albion v Arsenal
Rochdale v Stoke City
Sunderland v Fulham/Wolves
Doncaster/Bristol City v Everton/West Ham
Manchester City v Middlesbrough

0 comments:
Post a Comment