Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na majarida mbalimbali na mitandao kuhusu vilabu ambavyo vina mashabiki wengi ulimwenguni umeonesha kuwa vilabu vya Uingereza vinapendwa na mashabiki wengi duniani baada ya kuingiza vilabu vingi kwenye kumi bora,Manchester united msimu wa 2014-2015 watapoteza kiasi cha euro mil 50 kwa kuwa hawatashiriki katika michezo ya Ulaya kwa msimu ujao lakini bado klabu hiyo inapendwa na mashabiki.
Mabingwa wa Ulaya mwaka huu Real madrid wanakamata nafasi ya 3 nyuma ya Baka na Manchester United
10 Juventus ina mashabiki mil 20
9. Bayern Munich ina mashabiki mil 24
8. Inter Milan ina mashabiki mil49
7. Liverpool ina mashabiki mil71
6. AC Milan ina mashabiki mil 99
5. Arsenal ina mashabiki mil 115
4. Chelsea ina mashabiki mil 140
3. Real Madrid ina mashabiki mil 174
2. Barcelona ina mashabiki mil 270
1. Manchester United ina mashabiki mil 354
Chanzo;Top10th.com na Daily sport
0 comments:
Post a Comment