Saturday, 24 May 2014

Wachezaji Uingereza wakabidhiwa jezi na namba zao,Sturidge namba 9 na Rooney 10.

Timu ya taifa ya Uingereza mapema wiki hii imetangaza Namba za Jezi za Wachezaji wao 23 watakaokuwa huko Brazil kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia na hii inatoa taswira kuwa  akina nani kuwemo Kikosi cha Kwanza.
Uingereza , ambao wanafungua Kampeni yao huko Brazil wakiwa KUNDI D dhidi ya Italy  Juni 14, wamempa Jezi Namba 7 Jack Wilshere, Kiungo wa Arsenal, ambaye amekuwa na Msimu usiokuwa na furaha.
Mkongwe Frank Lampard wa Chelsea, amepewa Namba 8, Leighton Baines, Namba 3 huku Chipukizi Raheem Sterling akiwa Namba 19, Adam Lallana 20 na Luke Shaw 23.
Majina na jezi zao
1 Joe Hart
2 Glen Johnson
3 Leighton Baines
4 Steven Gerrard
5 Gary Cahill
6 Phil Jagielka
7 Jack Wilshere
8 Frank Lampard
9 Daniel Sturridge
10 Wayne Rooney
11 Danny Welbeck
12 Chris Smalling
13 Ben Foster
14 Jordan Henderson
15 Alex Oxlade-Chamberlain
16 Phil Jones
17 James Milner
18 Rickie Lambert
19 Raheem Sterling
20 Adam Lallana
21 Ross Barkley
22 Fraser Forster
23 Luke Shaw

0 comments:

Post a Comment