Monday, 30 June 2014

Ratiba ya leo kombe la dunia hadi Fainali

Jana Costa Rica ilitinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika Historia baada kuitoa Ugiriki kwa Mikwaju ya Penati 5-3 .
Costa Rica, ambao walitoka Kundi gumu la Uingereza,Italia  na Uruguay, ambao wote ni Mabingwa wa zamani wa Dunia, sasa wapo Robo Fainali na
Mabingwa hao wote wamebwagwa nje na Costarica watakutana na Uholanzi hapo Jumamosi Julai 5.
Uholanzi wao walishinda mabao 2-1 dhidi ya Mexico
Ratiba 
Leo JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
53
Ufaransa  v Nigeria
Nacional
Brasilia
2300
54
Ujerumani v Algeria
Beira-Rio
Porto Alegre
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
55
Argentina v Switzerland
Corinthians
Sao Paulo
2300
56
Belgium v USA
Fonte Nova
Salvador






ROBO FAINALI
IJUMAA, JULAI 4, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Ufaransa/Nigeria  v Ujerumani/Algeria  [57]
ROBO FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

2300
Brazil v Colombia [58]
ROBO FAINALI
Estadio Castelão, Fortaleza

JUMAMOSI, JULAI 5, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Argentina/Switzerland v Belgium/USA [59]
ROBO FAINALI
Nacional, Brasilia

2300
Netherlands v Costa Rica [60]
ROBO FAINALI
Arena Fonte Nova, Savador

NUSU FAINALI
JUMANNE, JULAI 8, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61]
NUSU FAINALI
Estadio Mineirão, Belo Horizonte

JUMATANO, JULAI 9, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi 59 Mshindi 60 [62]
NUSU FAINALI
Arena Corinthians, Sao Paulo

MSHINDI WA TATU
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62
MSHINDI WA 3
Nacional, Brasilia

FAINALI
JUMAPILI, JULAI 13, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2200
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

0 comments:

Post a Comment