Taifa Stars dimbani kesho dhidi ya Msumbiji.
Timu ya taifa ya soka Tanzania Taifa Stars, chini ya kocha Mholanzi,
Mart Nooij, inatarajia kucheza kesho (Julai 20) dhidi ya Msumbiji kuwania kupangwa hatua
ya makundi ili kusaka tiketi ya fainali za AFCON zitakazochezwa Morocco
hapo mwakani.
Taifa Stars imewasili juzi Dar es salaam ikitokea Mbeya ambapo iliweka kambi kwa ajili ya mchezo huo.
Taifa Stars ilitoa Zimbabwe kwa jumla ya mabao 3-2 katika hatua iliyopita na timu za ukanda wa CECAFA Kenya, Uganda na
Rwanda nazo zimepenya hatua inayofuata.
Michezo ya leo na kesho
Tanzania v Mozambique
Lesotho v Kenya
Uganda v Mauritania
Congo Brazzaville v Rwanda
Botswana v Guinea-Bissau
Sierra Leone v Seychelles
Benin v Malawi
Lesotho v Kenya
Uganda v Mauritania
Congo Brazzaville v Rwanda
Botswana v Guinea-Bissau
Sierra Leone v Seychelles
Benin v Malawi
AFCON 2015 MAKUNDI:
Group A : Nigeria, South Africa, Sudan, Congo/Rwanda
Group B : Mali, Algeria, Ethiopia, Benin/Malawi
Group C : Burkina Faso, Angola, Gabon, Lesotho/Kenya
Group D : Ivory Coast, Cameroon, DR Congo, Sierra/Seychelles
Group E : Ghana, Togo, Guinea, Uganda/Mauritania
Group F : Zambia, Cape Verde, Niger, Tanzania/Mozambique
Group G : Tunisia, Egypt, Senegal, Botswana/Guinea Bissau

0 comments:
Post a Comment