Droo ya Capital One,wababe wa Manchester United kucheza na Bradford.
Droo ya Raundi ya Tatu ya michuano ya kombe la Capital One imefanyika na klabu iliyoitoa Manchester United MK Dons, imepangiwa Timu ya Ligi 1 pia ambayo ni Bradford City watakayocheza nayo Nyumbani kwao.Ambapo Mechi za Raundi hii zitachezwa Septemba 23 na 24.
DROO
Raundi ya Tatu
Chelsea v Bolton
Arsenal v Southampton
West Brom v Hull
Crystal Palace v Newcastle
Leyton Orient v Sheffield Utd
Cardiff City v Bournemouth
Sunderland v Stoke City
Derby v Reading
Liverpool v Middlesbrough
MK Dons v Bradford
Manchester City v Sheffield Wed
Burton Albion v Brighton
Swansea City v Everton
Shrewsbury Town v Norwich City
Fulham v Doncaster Rovers
Tottenham v Nottingham Forest
0 comments:
Post a Comment