Italia kupambana na Uholanzi leo,Ufaransa na Hispania.
Usiku wa kuamkia leo michezo mbalimbali za kirafiki za kimataifa zilipigwa huku Ujerumani ikilambishwa mabao 4-2 na Argentina huku nyota Angel Di Maria akitengeneza mabao 3 na kufunga 1.MATOKEO:
Jumatano Septemba 3
Denmark 1 Uturuki 2
Urusi 4 Azerbaijan 0
Ukraine 1 Moldova 0
Czech Rep. 0 USA 1
Ujerumani 2 Argentina 4
R. of Ireland 2 Oman 0
Uingereza 1 Norway 0
Leo Alhamisi Septemba 4 nchi mbalimbali zitaingia dimbani kucheza,Italia itapambana na Uholanzi huku Hispania ikialikwa na Ufaransa
RATIBA,muda ni kwa saa za Tanzania.
Slovakia v Malta 19:20
Sweden v Estonia 20:45
Bos-Herce v Liechtenstein 21:00
Croatia v Cyprus 21:00
Ubelgiji v Australia 21:45
Italia v Uholanzi 21:45
Ufaransa v Hispania 22:00
Ijumaa Septemba 5
Japan v Uruguay 13:45

0 comments:
Post a Comment