Sunday, 28 September 2014

Kikosi cha Nigeria chatajwa Victor Moses ndani.

Victor Moses ameitwa katika kikosi cha  Nigeria kitakachocheza na Sudan kufuzu AFCON 2015 mwezi Octoba.

Winga huyo wa Stoke City  alicheza mchezo wa mwisho akiwa na Super Eagles pale Nigeria ilipofungwa  2-0 na Ufaransa katika fainali za kombe la dunia kule Brazil.

Viungo  Raheem Lawal na  Michael Babatunde nao  wameitwa.

Mshambuliaji ambaye kwa sasa anacheza vizuri wa klabu ya  Seattle Sounders  Obafemi Martins hajaitwa kwenye kikosi na mchezaji wa Villarreal  Ikechukwu Uche ametemwa. 

 Kocha ambaye hakuongezewa muda baada ya ko0mbe la dunia,Stephen Keshi ndiye aliyekitaja kiosi hicho.

KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Vincent Enyeama (Lille, France); Austin Ejide (Hapoel Be'er Sheva, Israel); Chigozie Agbim (Gombe United).

WALINZI: Elderson Echiejile (Monaco, France); Juwon Oshaniwa (Ashdod FC, Israel); Efe Ambrose (Celtic FC, Scotland); Godfrey Oboabona (Rizespor FC, Turkey); Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves); Kenneth Omeruo (Middlesbrough, England).

VIUNGO: John Mikel Obi (Chelsea, England); Ogenyi Onazi (Lazio, Italy); Nosa Igiebor (Maccabi Tel Aviv, Israel); Sone Aluko (Hull City, England); Hope Akpan (Reading, England); Raheem Lawal (Eskişehirspor, Turkey); Ugonna Anyora (FK Haugesund, Norway), Babatunde Michael (Volyn Lutsk, Ukraine).

WASHAMBULIAJI: Ahmed Musa (CSKA Moscow, Russia); Emmanuel Emenike (Fenerbahce, Turkey); Gbolahan Salami (Warri Wolves); Osaguona Ighodaro (Enugu Rangers); Victor Moses (Stoke City, England); Aaron Samuel (Guangzhou R & F, China); Sunday Emmanuel (SV Grödig, Austria).

0 comments:

Post a Comment