Thursday, 11 September 2014

Ratiba ya EPL kwa mwezi Septemba,jumamosi ni Arsenal na Man city.

Ligi kuu ya Uingereza(EPL) itaendelea kunguruma jumamosi hii ambapo klabu ya Manchester City Itapambana na Arsenal.

Kuelekea mchezo huo mshambuliaji wa City Edin Dzeko anaamini kuwa Timu yake Manchester City itaifunga Arsenal ikiwa kwao Emirates.

Wiki iliyopita, Man City, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Uingereza, wakiwa kwao Etihad walifungwa Bao 1-0 na Stoke City lakini hilo halikumzingua Dzeko ambaye anaamini wataifunga tu Arsenal.

Dzeko, mwenye Miaka 28 na ni Mchezaji wa Bosnia, hivi karibuni amesaini Mkataba mpya wa Miaka Minne na Man City.

RATIBA YOTE YA MWEZI SEPTEMBA EPL MUDA KWA SAA ZA TANZANIA.


Jumamopsi Septemba  13  2014
ArsenalvManchester CityEmirates Stadium14:45

ChelseavSwansea CityStamford Bridge17:00
Crystal PalacevBurnleySelhurst Park17:00
West Bromwich AlbionvEvertonThe Hawthorns17:00
SouthamptonvNewcastle UnitedSt. Mary's Stadium17:00
Stoke CityvLeicester CityBritannia Stadium17:00
SunderlandvTottenham HotspurStadium of Light17:00
LiverpoolvAston VillaAnfield19:30
Jumapili Septemba 14  2014
Manchester UnitedvQueens Park RangersOld Trafford18:00
Jumatatu Septemba 15  2014
Hull CityvWest Ham UnitedThe KC Stadium22:00
Jumamosi Septemba 20  2014
Queens Park RangersvStoke CityLoftus Road Stadium14:45
BurnleyvSunderlandTurf Moor17:00
Newcastle UnitedvHull CitySt. James' Park17:00
Aston VillavArsenalVilla Park17:00
Swansea CityvSouthamptonLiberty Stadium17:00
West Ham UnitedvLiverpoolBoleyn Ground19:30
Jumapili Septemba 21  2014
Leicester CityvManchester UnitedKing Power Stadium14:30
Tottenham HotspurvWest Bromwich AlbionWhite Hart Lane14:30
Manchester CityvChelseaEtihad Stadium17:00
EvertonvCrystal PalaceGoodison Park17:00
Jumamosi Septemba  27  2014
LiverpoolvEvertonAnfield14:45
Manchester UnitedvWest Ham UnitedOld Trafford17:00
SouthamptonvQueens Park RangersSt. Mary's Stadium17:00
SunderlandvSwansea CityStadium of Light17:00
Crystal PalacevLeicester CitySelhurst Park17:00
Hull CityvManchester CityThe KC Stadium17:00
ChelseavAston VillaStamford Bridge17:00
ArsenalvTottenham HotspurEmirates Stadium19:30
Jumapili Septemba 28  2014
West Bromwich AlbionvBurnleyThe Hawthorns18:00
Jumatatu Septemba  29  2014
Stoke CityvNewcastle UnitedBritannia Stadium22:00

0 comments:

Post a Comment