Thursday, 4 September 2014

Ratiba ya kufuzi AFCON 2015,kazi itaanza ijumaa.

Mechi  za hatua ya makundi ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika-Afcon mwakani zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho  ambapo nchi 28 zitakuwa zikitafuta nafasi 15 kwa ajili ya kujiunga na mwenyeji Morocco katika michuano hiyo Januari mwakani.

Kuelekea katika michuano hiyo tatizo la viwanja vitakavyotumika vimeibua mashaka  kwa baadhi ya mechi kutoka na wasiwasi wa ugonjwa hatari wa Ebola.

Shirikisho la Soka barani Afrika-CAF limeziamuru nchi za Guinea na Sierra Leone kuhamisha mechi zao za nyumbani katika viwanja huru kwasababu ya mlipuko wa ugonjwa huo kwenye nchi hizo.


RATIBA
               Ijumaa Septemba 5 2014
Sudanv  Africa Kusini


SenegalvMisri


     Jumamosi Septemba 6  2014
DR CongovCameroon


GuineavTogo


Burkina FasovLesotho


EthiopiavAlgeria


MalivMalawi


Ivory CoastvSierra Leone


GabonvAngola


NigervCape Verde


ZambiavMsumbiji


GhanavUganda


NigeriavCongo


TunisiavBotswana


0 comments:

Post a Comment