UEFA Dortmund kuwaalika Arsenal,Liverpool itakuwa Anfield,pata ratiba.
Michezo ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya inaanza leo katika viwanja vinane ambapo Liverpool, ambao wamewahi kutwaa Ubingwa mara 5, wanarejea Ulaya kucheza Mechi yao ya kwanza ya Kundi B la baada ya kupotea kwa Miaka Mitano na Wapinzani wao ni Ludogorets Razgrad ya Bulgaria.Liverpool walitwaa Ubingwa wa Ulaya kwa mara ya mwisho Mwaka 2005 baada ya kuibwaga AC Milan lakini Mwaka 2006/07 AC Milan ikawabwaga wao.
Borussia Dortmund ikiwa Ujerumani itawaalika Arsenal katika uwanja wa Signal Iduna.
RATIBA
Jumanne Septemba16 2014....muda ni kwa saa za Tanzania.
| Monaco | v | Bayer 04 Leverkusen | Stade Louis II | 21:45 | ||
| Benfica | v | Zenit St Petersburg | Estadio da Luz | 21:45 | ||
| Borussia Dortmund | v | Arsenal | Signal Iduna Park | 21:45 | ||
| Liverpool | v | Ludogorets Razgrad | Anfield | 21:45 | ||
| Galatasaray | v | RSC Anderlecht | Türk Telekom Arena | 21:45 | ||
| Juventus | v | Malmö FF | Juventus Stadium | 21:45 | ||
| Olympiakos | v | Atlético de Madrid | Karaiskaki Stadium | 21:45 | ||
| Real Madrid | v | FC Basel | Santiago Bernabéu | 21:45 |

0 comments:
Post a Comment