Wednesday, 4 February 2015

Ligi kuu Coastal Union na Yanga kupambana leo,pata na msimamo.

Ligi kuu soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja ambapo Coastal Union  itapambana na Yanga ndani ya uwanja wa Mkwakwani mooani Tanga.

Mechi hii ni kiporo baada ya kuahirishwa kuchezwa Januari 10 kutokana na ushiriki wa Yanga kwenye kombe la Mapinduzi huko Zanzibar.

Hivi sasa Yanga wako Nafasi ya Pili wakiwa na alama  19, alama 1 nyuma ya Vinara Azam FC huku Timu zote zimecheza Mechi 11.

Coastal Union wako Nafasi ya 7 wakiwa na alama 17 baada ya kucheza Mechi 12.

MSIMAMO WA VPL.
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
11
6
3
2
15
8
 
7
21
2
Yanga
11
5
4
2
12
7
 
5
19
3
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
 
6
18
4
Polisi Moro
13
4
6
3
10
9
 
1
18
5
JKT Ruvu
13
5
3
5
13
13
 
0
18
6
Ruvu Shooting
13
5
3
5
9
10
 
-1
18
7
Coastal Union
12
4
5
3
10
8
 
2
17
8
Simba
12
3
7
2
13
11
 
2
16
9
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
 
-1
15
10
Mbeya City
12
4
3
5
8
10
 
-2
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
 
-4
14
12
Ndanda FC
13
4
2
7
12
17
 
-5
14
13
Stand United
13
2
5
6
8
16
 
-8
11
14
Tanzania Prisons
12
1
7
4
9
11
 
-2
10

0 comments:

Post a Comment